Kuhamia kwa mama wa 51 years


mmh ama kweli umemaind
 
Shem, huna haja kupoteza muda kushauri hivi vitoto vilivyotoka kubalehe jana. Vinatupima upepo tu hapa........

Kwema lakini?
Age mate... i think AshaD and Boss are quite right.... dogo kajisaidia kwenye kabinyau halafu anajifanya msela nondo
 
Age mate... i think AshaD and Boss are quite right.... dogo kajisaidia kwenye kabinyau halafu anajifanya msela nondo
Hahahahah......dah! We hatari sana mazee!
 

Ashadii umeamua kumaliza kila kitu
 
Hahahahaha............haya bana. Ila mi naamini dawa yao ni kuwapotezea.....

Maadam wote wameenda msalani, namshukuru Allah uzima upo.

Afu hivi wajua nlivyokumiss?


Maelezo mengine hata sijayaona shem.... Miss you too....lol
 
Sijui kama moderm leo itakuwa na hela ya kutosha........ ngoja tusubiri



Sidhani kama ni modem antumia....lol.... Atakua tu anaenda cafe....

Mpaka nimekosa mwelekeo.... Tunajadili nini vilee??
 
Sidhani kama ni modem antumia....lol.... Atakua tu anaenda cafe....

Mpaka nimekosa mwelekeo.... Tunajadili nini vilee??
Twenzetu mtaa wa pili kule, hapa kimeshaeleweka.......
 
Mkuu Asha dii Ametaka Ushauri wa kwenda kuishi na Mama mwenye umri wa Miaka 51 naona umemshambulia sana huyo kijana . Mungejaribu kumsaidia kimawazo sio kumshambulia jamani. Mimi kwa mawazo yangu jambo la kwanza ikiwa wewe hujawahi kuowa au hata uliwahi kuowa lakini huna mtoto usijaribu

kwenda kwa huyo mama anaonyesha yeyeni mkubwa zaidi yako. La kama ulisha wahi kuowa na una mtoto au watoto na kwa sasa mke huna unaweza kwenda kujaribu kuishi nae, lakini ukae ukijuwa huyo mama atakuwa anakupenda na kukuonea Wivu mwingi kiasi kwako itakuwa

kama ni kero tu.Na Matokeo yake hutaweza kukaa nae muda mrefu, la kama unakwenda kwa huyo Mama kwa ajili ya maslahi ya pesa nenda nimekuruhusu mimi. Kwa umri aliye kuwa nao huyo mama inaonyesha amesha zaa na hahitaji tena watoto anachohitaji ni starehe ameshakuwa

Mtu Mzima au kwa lugha ya kimjini amekuwa Shangingi huyo kwa hiyo anakuhitaji wewe uende kumstarehesha nenda tu Mkuu. mimi mwenyewe nilivyoanza mapenzi nilianza na hao Wanawake wakubwa wana raha zao sana tu.
 


Mkuu Mzizi Mkavu nimekupata uloongea kiasi kwamba almost nijisikie guilty.... Hapa MMU kumekua na topics nyingi za mzaha... Mie ni mgeni sijui kama imekua worse ama lah! But tokana na malalamiko ya wengi naona imekua worse.. Mie ni mmoja wa watu hutoa ushauri tokana na nitapoishia ufikiri kuhusiana na hio topic no matter ionekane ya mzaha... BUT inapotokea the same member analeta tena mzaha ni vizuri once in a while kumshuta kua tunamsoma.....

Naomba pitia hii Link kama hukubahatika kuona..... MAMA WA 51 YEARS

Naomba pia pitia Link zake hizi... labda utapata picha the type of person.

MAUMBILE NA TABIA YA MTU

KWA NINI WACHAGA HAWAJUI KUONGEA


Hivo Mkuu Mzizi Mkavu.... Such a person once in a while inatakiwa apewe ukweli wake... hata kama drawn from assumption....
 

Ashadii nimekulipia bill ya mwezi mzima ya Chai ya maziwa pale hotelini...............................umetoa suluhu kwa huyu ndg yetu
 
man utaolewa bhana wewe mle akiwa kwako nae akiwa kwake,maana ukijipeleka kwake utakuwa huna sauti juu ya lolote na lazima siku akutimue dogo na begi lako ,aibu
 
AshaDii,

Nakusalimu my dear.......i have missed you a lot.



Happuch Mpenzi.... yaani wee hua huchoshi for ni nadra saaana kukuona... Hua nakukumbuka kwa kweli... genuinely... Na unajua lakini the way hua nafurahi nikikuona..... Mzima lakini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…