Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Nami natuma salamu kwa my mupenzi akiwa hapoo............oops kumbe si sredi ya salamu!
Hii inaashira kija unavyopenda miteremko ya maisha................unahamia kwake ukadowee ugali wa bure hamana lolote hapo!
Happuch Mpenzi.... yaani wee hua huchoshi for ni nadra saaana kukuona... Hua nakukumbuka kwa kweli... genuinely... Na unajua lakini the way hua nafurahi nikikuona..... Mzima lakini??