habari wataalamu wa sheria...nikiwa mtumishi wa taasisi ya umma na nimeomba kazi tume ya utumishi wa ajira kwa post ya juu kuliko niliyopo na nikafanikiwa kupata, nimemfuata mwajiri wangu wa mwanzo amekataa kunihamishia kwenye hii kazi mpya kwa kuwa sikupitisha barua ya kuombea kazi ofisini kwake kabla ...naomba ushauri wa kisheria nini cha kufanya