Kuhamisha pesa kutoka Mobile Money kwenda Skiril account

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Nashindwa kuweka pesa kwenye Skiril account kutoka kwenye Mpesa au Airtel Money, Mwemye kujua njia aniambie make ya kutumia VISA ya CRDB naona pia inakuwa ngumu sana
 
Inaitwa skrill ...halafu tumia virtual card ya NMB au CRDB
 
Nashindwa kuweka pesa kwenye Skiril account kutoka kwenye Mpesa au Airtel Money, Mwemye kujua njia aniambie make ya kutumia VISA ya CRDB naona pia inakuwa ngumu sana

Mbona simple na miaka mi 5 natumia bila tatzo lolote

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…