Kuhani Musa anafanya huduma inayochonganisha watu. Ipo siku watu watadhuriana ndio serikali iamke usingizini

Kuhani Musa anafanya huduma inayochonganisha watu. Ipo siku watu watadhuriana ndio serikali iamke usingizini

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Huyu jamaa kama kweli ni mchungaji basi hajapitia kwenye vyuo vya kichungaji na hajui kumtangaza mtu mbele ya hazira ya watu kwamba ni mchawi ni kosa kisheria na ni hatari kubwa sana kwa mlengwa.

Kwanza jamii ya mtu aliyetajwa kwamba ni mchawi inaweza kumtenga na kumhusisha na matukio mbalimbali na hata kumuua. Pili hata kuwa na amani tena kwa sababu kila mtu atamuona yeye ni mchawi hivyo atatengwa Kila mahali, anaweza hata kuondolewa kwenye kazi au kibarua na bosi wake kwa kudhani ni kweli ni mchawi.

Kuhani musa asitafute umaarufu kwa kuharibu image za watu ,na wahanga wote waliotajwa na kuhani musa kwamba ni wachawi wanatakiwa kumpeleka mahakamani na kudai fidia ya kuwadhalilisha. Serikali nayo imenyamaza tu ni kama haioni. Unabii wa kuhani musa ni wa kitoto na ni wakizamani sana. Huyu afungiwe huduma mara Moja kwa kiuka Sheria za nchi yetu na kutweza utu wa watu wetu
 
Wagalatia hawana akili acha wapigwe, ukiwasanua wanakuambia we kobazi sijui bikira 72, hao wana laana ya kuua albino.
 
Kuna uwezekano mkubwa sana hao wachawi wanapangwa wanapata pesa ili waaminishe watu wengi zaidi
 
Injili anayoihubiri ni ya kishenzi na haina uvuvio wa roho mtakatifu. Iko ki maigizo zaidi na haoni aibu kuhubiri injili feki
 
Back
Top Bottom