Cyriacus Kakira
New Member
- Jun 16, 2013
- 3
- 6
Ni jambo la kushangaza, hii nguzo iko hivi, siku ya nne inaisha, inaenda siku ya tano, nguzo hii imelala hivi! Je, wahusika wa kutatua dharura za miundombinu ya umeme mjini Bagamoyo hawajaona? Au je, hawajui umuhimu wa kurekebisha tatizo kama hili haraka?
Ushauri wangu: Si busara kusubiri tatizo fulani lianze kuzaa madhara zaidi. Wahusika warekebishe hili tatizo ambalo ni hatari kwa usalama wa raia na mali zao.
Ushauri wangu: Si busara kusubiri tatizo fulani lianze kuzaa madhara zaidi. Wahusika warekebishe hili tatizo ambalo ni hatari kwa usalama wa raia na mali zao.