kuharisha kipindi cha period kwa wanawake

kuharisha kipindi cha period kwa wanawake

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
naombeni kuuliza kwanini mwanamke akiwa siku zake anaharisha?
 
Pole sana, ila hiyo hali ni ya kawaida husababishwa na mabadiliko ya homoni au vichocheo katika mwili wa mwanamke kipindi anapokua katika siku zake. Hali hiyo itaisha mara tu utakapomaliza siku zako. Pia mwanamke anaweza kuhisi kichefuchefu,kichwa kuuma,kutapika,kukosa choo,kupata maumivu makali ya tumbo,kiuno au mgongo,mood changes (kua na hasira au huzuni)
Jitahidi ufanye mazoezi, kula matunda na mbogamboga kwa wingi na kunywa maji mengi.
 
Back
Top Bottom