Kwa nionavyo mimi, ww ni mmoja Wao ila umekuja kujaribu kuona tunawaonaje coz JFK ni kioo sana Kifupi ni kuwa u r nothing good for citizen wa kawaida but a threat kama vile nyie ndio wa kwanza kuwapora haki zao ktk uchaguzi, kusaidia wezi wa raslimali zetu kama wale twiga, kusaidia wauzaji unga ambao wanatuua kwa madawa hayo huku mkitumia kodi zetu. Kinauma sana kwa usaliti wenu
Unajua TISS wengine wanafikiri watu hawajui majukumu yaTISS, Tanzania ni kanchi kadooo saana TZ, watu wanajua majukumu ya CIA, KGB,MOSAD na mashirika makubwa mengine ya kijasusi, TISS kwa vyovyote wameiga huko!Sasa visemina vya wanaTISS wanaambiwa labda! Watanzania wengine hawaju majukumuya TISS, Watu wanafahamu na wanawaangalia mnavyochemsha!
Kwa taarifa yako TISS number 1 sio Rais ila ni akili kamili ya mtu binafsi(Mwenye akili kamili), ninavyosema kamili ni utashi wa mtu mwenye akili nyingialiyekamilika! Hujui hilo? Mawazo kama haya ndio yana haribu utendaji wa TISS,Tunajua TISS wanafikili wao ndio, wanatakiwa kuweka Rais, Kuchaguwa mawazir,kuchagulia watu wabungei on which wanaweka watu wasio na uwezo, kwa kuwa TISS 1yao haiko okay!
jinsi ilivyo kwa utashi kamili na akili zetu kamili i mean TISS 1, mnadanganywa kuwa watu hawafahamu, ukiclaim utaamini, ila ukiwa na TISS1 Kichwani utaelewa kitu ninacho kisema,
Tunajua wenzenu wanavyoshabikia vyombo vyao katika kulinda mali zao na Taifa lao kwa ujumla na kuliweka Taifa lao kwenye ramani ya Duniani,uwezi kuwa raia wa Marekani mwenye upeo wa wastani asijue CIA iko kwa kazi gani na ndio maana wako tayri kuitetea popote pale nani na nje ya mipaka yao.Vivyo hivyo Waisrael na MOSAD nao kwa nguvu ile ile ya sawa ya wamarekani wananchi wanajengwa kuthamini nguvu na uwezo wa vyombo vyao vya umma kuwapa msaada wa kuwa wanajua dhahili mashirika hayo yako kwa faida ya Taifa lao.Je sisi watanzania kwanini tujijenge kweye sura hasi [negative] kifanyike nini nasi kila anaezaliwa ndani ya Tanzania anakuwa mzalendo wa Taifa lake kwa kuwa mwishi wa yote kila ria ni Mwanausalama wa Taifa lake kadri ninavyoamini mimi kwa upeo wangu.
Hii sheria bado iko valid kweli even after 46 years? Labda tu cha kumkumbusha mtoa mada ni kuwa kazi kubwa ya Idara ya Usalama wa Taifa ni KUHAKIKISHA TAIFA LIKO SALAMA. Baaaaasi!!!!!!!!pole kwa ulimbukeni wako na kutokujua kwako majukumu ya chombo hicho.... hakuna hata moja kati ya hayo ni jukumu lake. Soma sheria ya TISS ya 1966 inapatikana kwenye mtandao
Hii sheria bado iko valid kweli even after 46 years? Labda tu cha kumkumbusha mtoa mada ni kuwa kazi kubwa ya Idara ya Usalama wa Taifa ni KUHAKIKISHA TAIFA LIKO SALAMA. Baaaaasi!!!!!!!!