Kuna "nature" na "nurture"
Narture hivi ni vitu ambavyo havitokani na hasiri ya uubwaji wetu, yani hivi ni vitu vyakujifunza ama kufundishwa ili kukuwezesha kuendana na mazingira. Kusoma,kuandika, kuhesabu hivi vyote ni nurture.
Nature hivi ni vitu vya asiri ambavyo mtu uzaliwa navyo na ufanyika pasipo kufundishwa wala kuelekezwa na mtu, mfano kucheka, kulia, kuchukia, kula, na kisex pia. Hivi vinakuja vyenyewe automatic kwenye akiri