Inatakiwa ujue kwamba biashara hiyo ni nzuri maeneo yasio kuwa na hiyo bidhaa, Tanga haina uhaba wa matunda, sijui kwa mboga, Mfano kw Mwanza hakuna anaye weza kununua samaki wa kwenye fridge wakati wa fresh wapo. Hivyo fanya utafiti kwa sababu ili ifanikiwe ni lazima kuwe na demand kubwa sana ya matunda Tanga na supply yake ni ndogo sana, je iko hivyo?