Kuhifadhi mizigo

Kuhifadhi mizigo

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Aisee shughuli ya kuhamisha vitu while looking for a house ni kimbembe si cha dunia hii.

Hivi business people wameshindwa kabisa kuweka kama warehouses for people to rent kasehemu hapa mjini kuweka vitu kwa muda kwa mwezi kwa bei nafuu kwa sisi walala hoi Jaman.

Kuliko kuanza kutafuta nyumba au utume mizigo mkoani au nje ya mji then upate nyumba uanze tena kuhamisha Loh😡😡😡
 
Aisee shughuli ya kuhamisha vitu while looking for a house ni kimbembe si cha dunia hii. Ivi business people wameshindwa kabisa kuweka km warehouses for people to rent kasehemu hapa mjini kuweka vitu kwa muda kwa mwezi mwezi kwa bei nafuu kwa sisi walala hoi Jaman kuliko kuanza kutafuta nyumba au utume mizigo mkoani au nje ya mji then upate nyumba uanze tena kuhamisha Loh😡😡😡
Nikukodishe geto langu uje kuviweka Sina hela mm
 
Aisee shughuli ya kuhamisha vitu while looking for a house ni kimbembe si cha dunia hii. Ivi business people wameshindwa kabisa kuweka km warehouses for people to rent kasehemu hapa mjini kuweka vitu kwa muda kwa mwezi mwezi kwa bei nafuu kwa sisi walala hoi Jaman kuliko kuanza kutafuta nyumba au utume mizigo mkoani au nje ya mji then upate nyumba uanze tena kuhamisha Loh[emoji35][emoji35][emoji35]
Nenda pale Magomeni Mapipa,Karibu na Bondeni Hotel,Kuna Jamaa fulani Wana Ofisi inaitwa Mabeva Wana huduma hiyo,watakuhifadhia kwa gharama ndogo wakati unatafuta alternative
 
Aisee shughuli ya kuhamisha vitu while looking for a house ni kimbembe si cha dunia hii. Ivi business people wameshindwa kabisa kuweka km warehouses for people to rent kasehemu hapa mjini kuweka vitu kwa muda kwa mwezi mwezi kwa bei nafuu kwa sisi walala hoi Jaman kuliko kuanza kutafuta nyumba au utume mizigo mkoani au nje ya mji then upate nyumba uanze tena kuhamisha Loh😡😡😡
Umeolewa notisi
 
Business idea nzuri ila watu hawajaifanyia kazi na kama wapo hawajajitangaza..maana demand ya watu kuweka vitu safe store wakati wanajipanga etc ina unahitaji mkubwa sana.
Hili nalo tulitazame
 
Back
Top Bottom