Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Nikukodishe geto langu uje kuviweka Sina hela mmAisee shughuli ya kuhamisha vitu while looking for a house ni kimbembe si cha dunia hii. Ivi business people wameshindwa kabisa kuweka km warehouses for people to rent kasehemu hapa mjini kuweka vitu kwa muda kwa mwezi mwezi kwa bei nafuu kwa sisi walala hoi Jaman kuliko kuanza kutafuta nyumba au utume mizigo mkoani au nje ya mji then upate nyumba uanze tena kuhamisha Loh😡😡😡
Nenda pale Magomeni Mapipa,Karibu na Bondeni Hotel,Kuna Jamaa fulani Wana Ofisi inaitwa Mabeva Wana huduma hiyo,watakuhifadhia kwa gharama ndogo wakati unatafuta alternativeAisee shughuli ya kuhamisha vitu while looking for a house ni kimbembe si cha dunia hii. Ivi business people wameshindwa kabisa kuweka km warehouses for people to rent kasehemu hapa mjini kuweka vitu kwa muda kwa mwezi mwezi kwa bei nafuu kwa sisi walala hoi Jaman kuliko kuanza kutafuta nyumba au utume mizigo mkoani au nje ya mji then upate nyumba uanze tena kuhamisha Loh[emoji35][emoji35][emoji35]
I want something official na kwa ulinzi mkubwa sio binafsi hivyo rafiki yanguNikukodishe geto langu uje kuviweka Sina hela mm
Umeolewa notisiAisee shughuli ya kuhamisha vitu while looking for a house ni kimbembe si cha dunia hii. Ivi business people wameshindwa kabisa kuweka km warehouses for people to rent kasehemu hapa mjini kuweka vitu kwa muda kwa mwezi mwezi kwa bei nafuu kwa sisi walala hoi Jaman kuliko kuanza kutafuta nyumba au utume mizigo mkoani au nje ya mji then upate nyumba uanze tena kuhamisha Loh😡😡😡
Hili nalo tulitazameBusiness idea nzuri ila watu hawajaifanyia kazi na kama wapo hawajajitangaza..maana demand ya watu kuweka vitu safe store wakati wanajipanga etc ina unahitaji mkubwa sana.