Naombeni ushauri sijui nini kinanisumbua sasa hivi nina zaidi ya miezi kadhaa ninasumbuliwa na tatizo la kusikia ndani ya kifua kama moto unaniunguza na mara nyingine sehemu za mkono.
Kwa yeyote mwenye kujua kuhusu hili naomba anisaidie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.