J jordah Member Joined Aug 13, 2012 Posts 68 Reaction score 11 Jun 18, 2014 #1 Naombeni ushauri sijui nini kinanisumbua sasa hivi nina zaidi ya miezi kadhaa ninasumbuliwa na tatizo la kusikia ndani ya kifua kama moto unaniunguza na mara nyingine sehemu za mkono. Kwa yeyote mwenye kujua kuhusu hili naomba anisaidie.
Naombeni ushauri sijui nini kinanisumbua sasa hivi nina zaidi ya miezi kadhaa ninasumbuliwa na tatizo la kusikia ndani ya kifua kama moto unaniunguza na mara nyingine sehemu za mkono. Kwa yeyote mwenye kujua kuhusu hili naomba anisaidie.