Jicho la Tai JF-Expert Member Joined Oct 10, 2012 Posts 1,450 Reaction score 600 Oct 24, 2012 #1 Kuna wakati mtu unaweza ukajikuta unahisi mwili kama unaungua moto. Hii hutokana na nini? na ni namna gani ya kuweza kudhibiti?
Kuna wakati mtu unaweza ukajikuta unahisi mwili kama unaungua moto. Hii hutokana na nini? na ni namna gani ya kuweza kudhibiti?
HoneyBee JF-Expert Member Joined Oct 23, 2012 Posts 912 Reaction score 864 Oct 25, 2012 #2 Una umri gani? Jinsia yako? Kama ni mwanamke 35+ inaweza ikawa dalili ya menopause.