Kuhisi uchungu mdomoni nini sababu?

Kuhisi uchungu mdomoni nini sababu?

Super Nigga

Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
23
Reaction score
11
Rejea mada tajwa hapo juu,

Mpenzi wangu anadai kuwa anahisi mdomo wake ni mchungu muda wote, hali inayomfanya akose amani kabisa, hana mimba kwamba tutasema ni dalili ya mimba hapana.

Wataalamu wa mambo haya naomba mnisaidie, niimpe nin mpenzi wangu apone.

Asanteni
 
mimi ni mlevi kila nikikaa siku nne au tano bila kunywa bia na viroba mdomoni huwa kuna utamutamu fulani then uchunguuchungu

sijui nayo ni nini, madokta tusaidieni kujua kama ni hatari au ni shwari
 
mimi ni mlevi kila nikikaa siku nne au tano bila kunywa bia na viroba mdomoni huwa kuna utamutamu fulani then uchunguuchungu

sijui nayo ni nini, madokta tusaidieni kujua kama ni hatari au ni shwari
Hahahahahaha
 
Back
Top Bottom