Super Nigga
Member
- Dec 18, 2016
- 23
- 11
Hahahahahahamimi ni mlevi kila nikikaa siku nne au tano bila kunywa bia na viroba mdomoni huwa kuna utamutamu fulani then uchunguuchungu
sijui nayo ni nini, madokta tusaidieni kujua kama ni hatari au ni shwari
mbona unacheka badala ya kunipa jibu kama ni dalili za nini?Hahahahahaha