Kuhitajika namba za NIDA wakati wa application SUA

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Wadau, wakati nafanya application SUA. Nimekutana na kipengele kinachohitaji namba ya NIDA..
Sasa kama hauna inakuwaje hapa.!!, kuna mtu yeyote kakutananacho hiki kipengele..?
 
Mkuu namba za nida hazina msaada wowote katika priority ya kupata chuo kama hauna unaweza kuruka hicho kipengele ukaendelea na vinavyo fuata
 
Kuna mtu nilimfanyia Application na hakuwa na number za NiDa ikabidi turuke kile kipengele Na kiukwel amefanikiwa kupata Nafasi pale Sua katika Round ya Kwanza
 
Mkuu namba za nida hazina msaada wowote katika priority ya kupata chuo kama hauna unaweza kuruka hicho kipengele ukaendelea na vinavyo fuata
Mkuu, pale kwenye "Sponsor" umechagua kitu gani.. Maana pako limited, vitu vinavyohitajika kujaza wameviorodhesha pale ila nimeshindwa kupaelewa..
Ni sponsor ya/wa nini.?
 
Back
Top Bottom