Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Vyuo vyote wanahitajiWadau, wakati nafanya application SUA. Nimekutana na kipengele kinachohitaji namba ya NIDA..
Sasa kama hauna inakuwaje hapa.!!, kuna mtu yeyote kakutananacho hiki kipengele..?
Sio kweli mkuu!Vyuo vyote wanahitaji
Mkuu namba za nida hazina msaada wowote katika priority ya kupata chuo kama hauna unaweza kuruka hicho kipengele ukaendelea na vinavyo fuataWadau, wakati nafanya application SUA. Nimekutana na kipengele kinachohitaji namba ya NIDA..
Sasa kama hauna inakuwaje hapa.!!, kuna mtu yeyote kakutananacho hiki kipengele..?
Wana-SUA muje basi hapa kutupatia utaratibu unakuwajeWadau, wakati nafanya application SUA. Nimekutana na kipengele kinachohitaji namba ya NIDA..
Sasa kama hauna inakuwaje hapa.!!, kuna mtu yeyote kakutananacho hiki kipengele..?
Mkuu, pale kwenye "Sponsor" umechagua kitu gani.. Maana pako limited, vitu vinavyohitajika kujaza wameviorodhesha pale ila nimeshindwa kupaelewa..Mkuu namba za nida hazina msaada wowote katika priority ya kupata chuo kama hauna unaweza kuruka hicho kipengele ukaendelea na vinavyo fuata
Kama umeomba mkopo jaza HESLBMkuu, pale kwenye "Sponsor" umechagua kitu gani.. Maana pako limited, vitu vinavyohitajika kujaza wameviorodhesha pale ila nimeshindwa kupaelewa..
Ni sponsor ya/wa nini.?
Dah, nimeotea sana mkuu nilijaza hyohyo.. Ila ilinifikirisha sanaKama umeomba mkopo jaza HESLB