kuhonga ni.....

kuhonga ni.....

driller

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
1,116
Reaction score
246
hivi jamani maana halisi ya neno kuhonga ni nini..?
na je kuhonga kunasaidia kuongeza mapenzi au ni ingredient muhimu kwenye love jamani...?
 
Jaribu ndio utajua kama inasaidia au la.
 
Kuhonga ni kutoa kitu fulani ili ufanyiwe favour e.g. Kutoa pesa ili upate Penzi, hunduma za kijammii, mitihani, n.k. Hii ni pamoja na akina dada kutoa Penzi kwa wanaume ili wawapende sana. Kama mwanaume atatoa pesa na dada atatoa penzi ili apate pesa naye amehonga. Kwa hiyo wote wamehongana. Kwa kifupi ni kutoa kitu kwa ziada ili upate huduma au kitu kirahisi.
 
Gud xplanesheni
Kuhonga ni kutoa kitu fulani ili ufanyiwe favour e.g. Kutoa pesa ili upate Penzi, hunduma za kijammii, mitihani, n.k. Hii ni pamoja na akina dada kutoa Penzi kwa wanaume ili wawapende sana. Nayo ni hongo tu. Kwa kifupi ni kutoa kitu kwa ziada ili upate huduma au kitu kirahisi.
 
kuhonga ni kutoa fedha/kitu upate favour au kitu fulani. Ni kijirushwa cha namna fulani
 
Kuhonga ni kutoa kitu fulani ili ufanyiwe favour e.g. Kutoa pesa ili upate Penzi, hunduma za kijammii, mitihani, n.k. Hii ni pamoja na akina dada kutoa Penzi kwa wanaume ili wawapende sana. Kama mwanaume atatoa pesa na dada atatoa penzi ili apate pesa naye amehonga. Kwa hiyo wote wamehongana. Kwa kifupi ni kutoa kitu kwa ziada ili upate huduma au kitu kirahisi.

umenyambua vizuri sana.
 
ina msaada kwenye real love..?
 
kwa hiyo wanawake full vijirushwa?

kwanini unasema hivi kongosho..? pole kwanza kwa kua lonely jana mkuu..! na pole kwa kuuza kitanda..! vipi tukuchangie tena..?
 
nihonge kitanda
asante mlitorokea wapi jana?
Ntakuwa napitisha raw call ambaye hayupo namhonga mtu anakula ban

Back
Top Bottom