Sema mama unataka LV, Christopher Louboutin, Chanel au Marc JacobsJaribu ndio utajua kama inasaidia au la.
Most probably inakuwa hivyo..domo zege?
Shughuli?
Misifa?
Kuhonga ni kutoa kitu fulani ili ufanyiwe favour e.g. Kutoa pesa ili upate Penzi, hunduma za kijammii, mitihani, n.k. Hii ni pamoja na akina dada kutoa Penzi kwa wanaume ili wawapende sana. Nayo ni hongo tu. Kwa kifupi ni kutoa kitu kwa ziada ili upate huduma au kitu kirahisi.
Kuhonga ni kutoa kitu fulani ili ufanyiwe favour e.g. Kutoa pesa ili upate Penzi, hunduma za kijammii, mitihani, n.k. Hii ni pamoja na akina dada kutoa Penzi kwa wanaume ili wawapende sana. Kama mwanaume atatoa pesa na dada atatoa penzi ili apate pesa naye amehonga. Kwa hiyo wote wamehongana. Kwa kifupi ni kutoa kitu kwa ziada ili upate huduma au kitu kirahisi.
kuhonga ni kutoa fedha/kitu upate favour au kitu fulani. Ni kijirushwa cha namna fulani
ina msaada kwenye real love..?Kuhonga ni kutoa kitu fulani ili ufanyiwe favour e.g. Kutoa pesa ili upate Penzi, hunduma za kijammii, mitihani, n.k. Hii ni pamoja na akina dada kutoa Penzi kwa wanaume ili wawapende sana. Kama mwanaume atatoa pesa na dada atatoa penzi ili apate pesa naye amehonga. Kwa hiyo wote wamehongana. Kwa kifupi ni kutoa kitu kwa ziada ili upate huduma au kitu kirahisi.
kwanini unasema hivi kongosho..? pole kwanza kwa kua lonely jana mkuu..! na pole kwa kuuza kitanda..! vipi tukuchangie tena..?
ina msaada kwenye love ya kweli..?