kuhonga ni.....

Driller nikibeba kigunia cha mchele na maharage, mtetea wawili, kigunia cha nyanya na vitunguu....hapo nimehonga vya kutosha halafu ukizingatia niko maeneo ya Sudan na Somalia huku kwenye njaa kwisha kazi

hahahahaaaaa hahaha..! ila wewe si unataka kumhonga lizzy..!? atakupa za kichwaaa..! asee huko nasikia hata ukipika chakula kika nukia vizuri ni hongo tosha.. watajipitisha pitisha hapo mpaka ujikute umenasa mwenyewe..!
 
Usisubiri kuombwa toa kila mara unapokumbuka na toa nyingi kuliko awali

hahaaaaa..! sasa wataalamu wanasemaje ili mtu aache kua bata kama ndo amezaliwa domo zege..!?
 
hahahahaaaaa hahaha..! ila wewe si unataka kumhonga lizzy..!? atakupa za kichwaaa..! asee huko nasikia hata ukipika chakula kika nukia vizuri ni hongo tosha.. watajipitisha pitisha hapo mpaka ujikute umenasa mwenyewe..!
Dah!! We acha tu huku watu wanahonga mpaka miguu ya kuku, Lizzy yeye huyu mmasai kwahiyo nikimuhonga nyama kilo kumi inatosha sana..
 
Dah!! We acha tu huku watu wanahonga mpaka miguu ya kuku, Lizzy yeye huyu mmasai kwahiyo nikimuhonga nyama kilo kumi inatosha sana..

hahaaa..! rocky anakuja muda sio mrefu..!
 
ulijisikia bomba kwa kuhongwa..? na ilikuaje akakuhonga..? alikua anataka kitu kwako..?
 
siku hizi kuna Super trick inaitwa Ching Chong
hachomoi mtu hata ziwa victoria atahonga

sitaisema maana ntawaharibia watumiaji

haahahhhh bora usiitaje, midume ipo macho inataka kuijua. Wanaume wenyewe humu wanajifanya wajaaaanja ila wakiwa kwenye 18 zao wanahonga mpaka tai kwikwikwi
 
haahahhhh bora usiitaje, midume ipo macho inataka kuijua. Wanaume wenyewe humu wanajifanya wajaaaanja ila wakiwa kwenye 18 zao wanahonga mpaka tai kwikwikwi
Badili Tabia sema unataka nikuhonge nini..sema fasta kabla sija log out..niki log out...kuhonga utaisikia kwenye bomba..
 
Akija hapa awe anajua kuhonga sio anaishia kuhonga chips mayai na mountain dew

hizo za kwa mangi hizo..! au wazee wa pwani..! wanahonga na hela ikitolewa inatolewa ndaniiiii..! mademu wanasema ikitoka ni ya motooooo..!
 
ulijisikia bomba kwa kuhongwa..? na ilikuaje akakuhonga..? alikua anataka kitu kwako..?

kuna sababu nyingi za kuhongwa, unaweza kuhongwa na mpenzi wako (nilikwambia hii ikifanyika kwa kiasi huimarisha penzi)

kuna kuhonga pale unapofukuziwa, hii nayo ina raha yake ukipata mwanaume mstaarabu, asokuwa na choyo wala asokuwa n gubu, ambaye hana pesa za mawazo

ofcourse unajisikia poa kama (kama ishu ya mapenzi) mtu mwenyewe unampenda, lakini ukifukuziwa na janume hulipendi huwa ni kero, au kama wenza ana gubu hata kupokea hongo yake unahofia, ipo siku atakuhesabia nilikupa hiki na kile
 
Badili Tabia sema unataka nikuhonge nini..sema fasta kabla sija log out..niki log out...kuhonga utaisikia kwenye bomba..

hongo tamu ni ya kusuprise, hebu fikiria unisuprise nini, ila hati ya kiwanja kibada itanifaa
 
Ha ha ha, hadi noti book ya summary ya kikao cha board

duh, hiyo trick noumer, sijui kwa nini hakatizi mtu pale

haahahhhh bora usiitaje, midume ipo macho inataka kuijua. Wanaume wenyewe humu wanajifanya wajaaaanja ila wakiwa kwenye 18 zao wanahonga mpaka tai kwikwikwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…