Kuhudumia Mwanaume Kabla ya Kuoana.

Sina tatizo na kukufulia na kukupikia 365 days a year, tatizo linakuja kuwa sote tumekuwa waajiriwa, katika maisha ya leo. Kwa hiyo wote tunaingia nyumbani kuanzia saa moja na nusu jioni (tulio na bahati mbaya ya kukaa maeneo ya pembezoni mwa mji). Naamini kwa muda huu kuingia jikoni na kuanza kujipikilisha, na uchovu wa kazini (ambao nina hakika na wewe mwenzangu unao) tutalazimika kumuajiri msaidizi. Kwa hiyo sidhani kama ni uzungu ndugu yangu, bali ni suala la sisi wenyewe kuwa considerate kwa wenza wetu. Kama niko tu nyumbani, naamini hayo hayawezi kushindikana.

Imagine tumeingia wote nyumbani, unadai chai, maji ya kuoga, chakula to name a few....jamani hata kumfikiria mwenzio kuwa naye alikuwa kazini, au kazi zako tu ndio zinachosha?

Tukirudi kwa wakaka wanaotaka huduma hizi kabla hata ya kuoa, nafikiri mara nyingi akina dada nao wanafanya hivyo kwa kujiona wako insecured na mostly on the loosing side. Kama alivyosema mdau mmoja, wewe ukigoma anakuja mwingine fasta na kufanya huduma zote hizo si ajabu na hela ya matumizi akaacha (haa haa..) Lakini the bottom line ni kuwa unaweza kuvunja mgongo kufua, kupika, usafi mpaka ukalima na bustani ya mboga nje, lakini mwisho wa siku inawezekana kabisa kuna mwingine pembeni ambaye hasumbuliwi kwa namna yoyote ile na anatengeneza kucha mwanzo mpaka mwisho wa wiki (hazigusi maji zaidi ya anayoogea), ambaye ndiyo akaolewa kwa shangwe zote! Na wewe 'employee of the year' ukabaki unasoma namba...tafakari na chukua hatua.

Ni kama vile wanatufanyia Interview! hapo hujanipata. Hayo nitafanya ukinivisha pete wangu. kama inakushindaa kwaheri

Halafu kama wewe kwa kuangallia tu picha yako tayari nimesha-kudisqualify hata nafasi ya interview ya kuwa hose wife sikupi... Labda Ceremonial wife pia kwenye 6*6 nakupa 100% .... Jikoni najua 0%, Jeans najua hufui 0% .....kunyoosha najua ni dobi ... mh! labda niwe fisadi ....

Kwani wewe ni mfanyakazi wake?? Unamuhudumia au unamfanyia kazi??? Mie dah hapana kazi zote hizo??? Hapana (Msiniulize nani hunifanyia za kwangu tafadhali)

Kwenye mahusiano sio mara zote wewe unakuwa 'umeshika kwenye mpini'....ikitokea mwanaume ndio kashika mpini utajikuta 'unampa' tu atakacho!

Utatumika mpaka basi na usiolewe, wengi tumewaona waliishia kuwa frustrated. Ndoa ni suala la upendano wa wote wawili mambo ya mpini na makali yanaashiria mashinano jambo ambalo si zuri ktk ndoa.

Reactions: SMU
Kwani wewe ni mfanyakazi wake?? Unamuhudumia au unamfanyia kazi??? Mie dah hapana kazi zote hizo??? Hapana (Msiniulize nani hunifanyia za kwangu tafadhali)

Alafu bibie umepotea wewe? Nahisi ulikuwa ukimfulia mtu!

Duh! Apooo kwenye Redi!! Hili nalo neno! No comment mtu wangu!

kweli shost halafu mtu kakupotezea muda kakuweka ndani muda wooote huo heri ukae tu mtaani single unakuwa na uhuru wa kuchagua heri heri ubaki kwenye soko wanunuzi wengi mbona?tatizo wanawake tunapenda kungangania?

Ha ha ha nilikuwa namfulia Mulama kuleee kwenye JF Mshenga Chit Chat.

Mkirua habari yako binafsi

Binafsi mie bomba tu sijui wewe na ulokuwa ukimfulia na kama umepasi mtihani tujiandae kupokea mahari!

na ndo maana siku hzi hawaoi kama anapata huduma zote za ndoa ataoa akitafuta nini?wadada wote tungewakaushia hawa mabrazameni wangekuwa na adabu.ukikataa wewe mwenzio anahamia fasta kazi kweli kweli

wengi wanakubali hayo kwa kuwa wanapata kitu in return , sio bure .hiyo ya kutunza mtu na kufua ni kama malipo na ndo maana huwa sio shida kuachwa....anafanya usafi akimaliza na yeye anaeleza shida zake anasaidiwa pia hasa huwa ni hela.

....... Ndoa ni suala la upendano wa wote wawili mambo ya mpini na makali yanaashiria mashinano jambo ambalo si zuri ktk ndoa.
Nilidhani tunazungumzia mahusiano ya kabla ya ndoa....ambayo kimsingi yanakuwa na imbalances (mpini/makali) za kila namna. Pale mwanzo ndio maana nikasema kuna 'nipe, nikupe' (compromises) nyingi tu katika kujaribu kutengeneza mahusiano ambayo baadae yanaweza kwenda kwenye hatua ya ndoa.

Binafsi kabla sijaoa, nimepita kwenye similar situation lakini ilikuwa ni kwa ridhaa ya binti mwenyewe bila kumshurutisha na hata mimi kuna mambo nilikuwa namfanyia bila kushurutishwa ambayo hayakuwa majukumu yangu from a strict point of view.

na huvutia zaidi mwanaume ikiwa huzai/matatizo ya sperm cjui Mwanamke akikumwaga bse huwezi kumimbisha inakuaje

na kweli maana wengi wanazan matatizo ni lazima yawe kwa wanawake tu na wao wanakua wagumu kweli na kujisahaulisha kuwa hata wao wanaweza kuwa na matatizo,kila siku mwanamke ndo amekua kiumbe wa kukandamizwa,wabadilike hao vidume,tumechoshwa na tabia zao!!ni vema wote kupima kabla ya kulaumiana

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…