Kuhudumia Mwanaume Kabla ya Kuoana.

Mpatanishi umeona eeehh. Biashara gani ya kuja kutext kama ni mbuzi au jiwe ukiwa tayari mzigo uko nyumbani. Ndo hayo ya kukutana na tatoo ya her first lover kwenye mwili wake. Mambo gani hayo bana

hata home ukipeleka binti lazima wazee wakuulize je mmejuana vizuri? We unadhani wana maanisha nini hapo?! Wazee wanaona mbali bana so hapa lazima mzigo upimwe tena na kufunguliwa waz kabisa.
Lazima niuchambue kabla cjaubeba jumla.

ni kweli! Unaweza kuuziwa robota la sidiria ukidhan ni la jeans...!

Na kama hujaingia humo umeshindwa kabla ya kuanza, otherwise u ar not seroius.

after 50 years and above , naona hakutakuwa na gender roles tena only sex roles
poor tz :disapointed:

me naona kumuhudumia mtu kabla hajakuoa au kuolewa ni mtu tu mwenyewe haina maadili wala nini?many things vinamfanya mtu avutiwe na wewe....n mostly ukishavifanya ndo atacomfirm/kuvutiwa na wewe y shuld i marry a guy then nianze kujilaumu kuwa anakidole cha mwisho?or y shuld u get married and then uanze kusema TV haiwaki.......yeah we r going against our culture na mungu pia ila maisha siku hizi yamebadilika,watu waforge vyeti vya HIV,mtu huwezi forge kupika au kuwa msafi au n.k siku moja utashikwa tu na kina dada jueni ukiachia mapenzi wanaume the best thing they like from us ni umpikie so jifunzeni kupika na kupunguza kuwaachia sana ma housegal that is y ma housegal wanawatoa kwenye nyumba zenu.....tupike jaman hata weekend kama weekdays tupo busy na kazi.....

Ndio maana tunaweka wasaidizi yaani beki tatu ili kuziba mapengo. Lakini hili haliondoi umuhimu wa mama kuwa mahili kwenye kupika na kufua kwani kama hujui mambo hayo utam "supervise" vipi beki tatu? Uzuri mambo ya upishi huwa hayaongopi. Utamjua tu mpishi mbabaishaji mara anapoweka chakula mezani.

ngoja niende kozi ya mapishi beki 3 asije akanipiga gap mama mwenye nyumba

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…