Kuhujumu Uchumi na Ulanguzi

Kuhujumu Uchumi na Ulanguzi

Wingawinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
623
Reaction score
1,531
Wakati nikikuwa nilikua nasikia hizi habari za hali ngumu ya uchumi na kukawa na operation ya kukamata wahujumu uchumi na walanguzi, tukasikia kuna nyumba zimekutwa zina basements na huku chini wame store bidhaa za kila aina.

Je, hiyo ilisababishwa na nini na kwanini kukawa na uhujumu uchumi na ulanguzi au ilisababishwa na controlling prices? Mnisamehe nilikuwa mtoto kipindi hicho na sikua na time ya kudadisi.
 
Wakati nikikuwa nilikua nasikia hizi habari za hali ngumu ya uchumi na kukawa na operation ya kukamata wahujumu uchumi na walanguzi, tukasikia kuna nyumba zimekutwa zina basements na huku chii wame store bidhaa za kila aina , je hiyo ilisababishwa na nini na kwanini kukawa na uhujumu uchumi na ulanguzi au ilisababishwa na controlling prices? Mnisamehe nilikuwa mtoto kipindi hicho na sikua n time ya kudadisi.
Ili sababishwa na ushenzi wa Nyerere kutuletea sera zake za ujamaa alipotezea baba zetu mda mwingi bila la maana, ndo umasikini hu unao uona mpaka leo.
 
Ili sababishwa na uchezi wa Nyerere kutuletea sera zake za ujamaa alipotezea baba zetu mda mwingi bila lamaana, ndo umasikoni hu unao uona mpaka leo.
Kwahiyo ilikuwa kama ni a strike kwa wafanya biashara ila ndio wakaitwa wahujumu Uchumi ?
 
Back
Top Bottom