Wakati nikikuwa nilikua nasikia hizi habari za hali ngumu ya uchumi na kukawa na operation ya kukamata wahujumu uchumi na walanguzi, tukasikia kuna nyumba zimekutwa zina basements na huku chii wame store bidhaa za kila aina , je hiyo ilisababishwa na nini na kwanini kukawa na uhujumu uchumi na ulanguzi au ilisababishwa na controlling prices? Mnisamehe nilikuwa mtoto kipindi hicho na sikua n time ya kudadisi.