njundelekajo
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 310
- 227
TUNAYAWEZA YOTE KATIKA OKWI ATUPAE NGUVU.
Mwaka 2003 Simba ilipocheza na Zamalek mashabiki nchini Misri walishangazwa mno na timu hiyo kufungwa 1-0.
Kilichowashangaza ni tangu tarehe 13/12/1996 Zamaleki ilikua haijawahi kuifunga timu yoyote ile goli 1-0.Ilishinda goli 2 na kuendelea.
Mpaka inacheza na Simba mwaka huo Zamaleki ilikua imecheza mechi 13 za michuano ya Klabu bingwa na hakuna timu iliyoondoka Misri kwa kufungwa chini ya goli 2 ni Simba pekee ilivunja rekod hiyo.Kesho inaweza vunjwa rekod ya AS VITA.
Kwa Simba katika mechi hiyo kipindi cha kwanza kinamalizika ubao ulisoma 0-0.,Dakika ya 59 Abdel Halim Ali wa Zamaleki anafunga kwa assist ya Tarek Said.
Simba imecheza na Zamaleki mabingwa mara 5 wa klabu bingwa Afrika ikapata matokeo,imecheza na Alh ahly mabingwa mara 8 ikapata matokeo.
Imecheza na TP Mazembe mabingwa mara 5 imepata matokeoa,imecheza na Asante Kotoko mabingwa mara 2 ikapata matokeo,imecheza na Es Setif mabingwa mara 2 ikapata matokeo.Nini AS Vital mabingwa mara 1 wa
Kombe hilo, tena mwaka 1981?
Simba yenye miaka 15 tangu icheze hatua ya makundi kwa mara ya mwisho mwaka 2003 inafaida ya kutokuwapo kwa beki kisiki wa AS Vital Dharles Kalonji aliyepata kadi nyekundu kwenye mchezo dhidi ya Am Ahly.
Dua Mganda Emanuel Okwi awe kwenye ubora wake kama ilivyokua kwenye mecho dhidi ya J.S SSOURA.Mganda huyu ndiye mwenye hirizi ya matokeo.
Simba imekua ikipata nafasi nyingi sana za kufunga na kupoteza.Mfano kwenye mechi dhidi ya Nkana licha ya ushindi wa 3-1 mipira 3 iligonga mwamba na JS Ssoura nafasi tatu za wazi zilipotea .Hivyo ingawa timu inapata ushindi lakini bado kuna tatizo kwenye ushambuliaji na tiba yake ni ubora wa Okwi.
Meddie Kagere ni Bully Striker katika mechi za ugenini kama ya AS VITAL ambazo Simba haiwezi kumiliki mpira anaweza asionekane sana.Huyu ni mshambuliaji anayeleta faida katika mechi timu inapokaa na mpira muda mrefu.
Hii ni sababu ya Bocco na Okwi kuwa chaguo la kwanza kwa mwalimu kuliko Kagere kwa sababu wanatoa huduma inayosaidia timu kumiliki mpira.Kagere mpe pasi afunge habari za dribling na mbwembwe nyingine muchie Chama.
Iwapo Simba itafungwa mechi ya kesho ni sawa na Barcelona,Manchester City,Real Madrid,Juventus,Arsenal,Rivepool,Chelsea,Manchester United zinavyofungwa.Haitofungwa kwa sababu ni timu ndogo inaweza kufungwa kwa sababu mpira una matokeo matatu na kufungwa mojawapo
Vinginevyo naipa sare mechi hii ya goli 1-1 au vinginevyo itakavyokua AS VITAL 2-1.Matokeo yakiwa hivi ni faida kwa Simba kwa sababu kwa mwendo huo idadi ya magoli ya kufungwa na kufunga yataamua nani aende robo fainali.
YES WE CAN
18/1/2019
NOEL NGUZO.R.