kuhusiana na joining instruction ya skul uliyochaguliwa

Saidy Januzaj

Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
69
Reaction score
10
jaman hv zile joining instruction zinatolewa baada ya muda gani,?? na zikitolewa huwa unazipatia wapi?? skul uliyomaliza au huko ulipochaguliwa??
plz wakuu
 
Joining instruction unaipata kutoka kwenye addres ulioijaza kama ni ya shule zitakuja shule
kwa mda sifahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…