hata kajala alilia mahakamani! Ni emotions tu za mtu, mi mwenyewe mume wangu akinipa dozi vizuri, machozi bwena kwa raha! Ila ni upepo tu, unapita!
Vp,alikunyima uchi nin mkuu?
hahaha c wa kwanza kulia mbona wengi wanaliaga tu. Sasa si ashafika mahakamani na kesi inaendelea kaa kimya uone kitakachojiri kuliko keleta hisia zako hapa.
Kweli bongo kila mtu ana fani zote kuanzia mziki mpaka uchungaji.
Watu wazima mnaona suala la Lulu kulia Mahakamani kuwa ni big deal,mnasahau kuwa fani yake ni uigizaji,ameshaigiza part nyingi sana za kulia katika movies alizoshiriki/kushirikishwa itakuwa Mahakamani...na huyo anayemsema mtoto amebebeshwa mzigo asioweza kuubeba mimi naona hana akili nzuri,Lulu ana utoto gani sasa jamani.....mtu anajitwisha pande kama Captaiiiin daily,Captain anakolea mpk anaamua kumporomoshea Mjengo pande zile za Kimara bado mnasema Mtoto,watoto huwa hawabebi dizaini zile hata siku 1,dizaini zile zinabebwa na watu wazima wa shughuli jamani
Kama sijakuelewa hivi!unamuonea donge kujengewa nyumba au?kalulu nyota inang'aa kuna dada zako mjini mpaka inaota sugu hata bajaj hawajawahi kununuliwa!usiungane nao kumchukia mrembo huyu aliyebarikiwa kudatisha wanaume na akili zao!
Vp,alikunyima uchi nin mkuu?
lol. . .
Vp,alikunyima uchi nin mkuu?
Kama una mpango wa kuwa mzazi baadaye ghairisha hilo zoezi...endelea Kuuza sura mkuu!
Kama una mpango wa kuwa mzazi baadaye ghairisha hilo zoezi...endelea Kuuza sura mkuu!