Kuhusiana na Lulu kulia Mahakamani, Kama binti mdogo (mtoto) anayebebeshwa mzigo asioweza kuubeba

Ulie usi lie
court is not your mother or your father to feel sory for you
 

Aisee kumbe ana 'kibendi!'. Du watu mna data! Sio kitoto. Mwache ajifunze whether awe au asiwe guilty atakuwa kapata adabu kidogo. Jela hata kwa siku moja haifai wandugu.
 
Sio kila mfungwa aliyejera ni kweli mkosaji, husimuukumu mwenzio wakati bado upo duniani. kabla uja haujaumbika! penye ukweli uongo ujitenga siku moja tutajua ukweli ulipo., acha sheria ifanye kazi yake.
 
ni hisia tu mbona kwenye muvi akilia ausemi mr
 
Jaman tusimuombee mabaya,binafsi namuombea lulu atoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…