Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Ndio, hakuna kinachosaidika kwenda gaza directly, vitu vingi vinapita kwanza kwa hamas alafu wanapewa wananchi wachache kwa ajili ya ushuhuda wa bongomuvi.
Wanashirikiana katika kuua ideology ya kihayaudi na magharibi, wakati matajiri ndio hao hao mna wafanyia ukatili. Kuleni maweee!!!