Kuhusiana na Wamarekani kutua kwenye mwezi

Kuhusiana na Wamarekani kutua kwenye mwezi

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Kuna hili jambo ambalo lina utata kama wamarekani walituma chombo cha anga na kupeleka binadamu mwezini mara ya kwanza mwaka 1969.

Nilikuwa napitia machapisho mtandaoni na kukutana na hili kanusho (debunking) nikaona niliweke hapa ili wenye interest na haya mambo tuliangalie.

 
Samahani nilimaanisha kanusho kwa wale wanaodai kwamba si kweli wamarekani hawakutua mwezini
 
Nimesoma hiyo article lkn inaonyesha wamepinga Kwa hoja nzito kwamba hao wanao sema America walifeki si kweli.

Binafsi nimewaelewa watetezi Kwa hoja zao.

Na kingine si rihisi Kwa watu 400,000 baada ya miaka 50 wote wakae kimya hiyo nayo ni hoja ya msingi sana
 
Back
Top Bottom