R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 1,958 Reaction score 1,744 Jan 28, 2023 #1 Kuna hili jambo ambalo lina utata kama wamarekani walituma chombo cha anga na kupeleka binadamu mwezini mara ya kwanza mwaka 1969. Nilikuwa napitia machapisho mtandaoni na kukutana na hili kanusho (debunking) nikaona niliweke hapa ili wenye interest na haya mambo tuliangalie. The Wildest Apollo 11 Moon Landing Conspiracy Theories, Debunked | HISTORY Claims the Apollo 11 mission was staged began soon after astronauts first set foot on the moon in 1969. www.history.com
Kuna hili jambo ambalo lina utata kama wamarekani walituma chombo cha anga na kupeleka binadamu mwezini mara ya kwanza mwaka 1969. Nilikuwa napitia machapisho mtandaoni na kukutana na hili kanusho (debunking) nikaona niliweke hapa ili wenye interest na haya mambo tuliangalie. The Wildest Apollo 11 Moon Landing Conspiracy Theories, Debunked | HISTORY Claims the Apollo 11 mission was staged began soon after astronauts first set foot on the moon in 1969. www.history.com
R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 1,958 Reaction score 1,744 Jan 28, 2023 Thread starter #2 Samahani nilimaanisha kanusho kwa wale wanaodai kwamba si kweli wamarekani hawakutua mwezini
Etugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 6,514 Reaction score 15,247 Jan 28, 2023 #3 Nimesoma hiyo article lkn inaonyesha wamepinga Kwa hoja nzito kwamba hao wanao sema America walifeki si kweli. Binafsi nimewaelewa watetezi Kwa hoja zao. Na kingine si rihisi Kwa watu 400,000 baada ya miaka 50 wote wakae kimya hiyo nayo ni hoja ya msingi sana
Nimesoma hiyo article lkn inaonyesha wamepinga Kwa hoja nzito kwamba hao wanao sema America walifeki si kweli. Binafsi nimewaelewa watetezi Kwa hoja zao. Na kingine si rihisi Kwa watu 400,000 baada ya miaka 50 wote wakae kimya hiyo nayo ni hoja ya msingi sana