kidE Meshack
Member
- Jan 8, 2013
- 92
- 7
Habarinii ndugu, Kuna uwezekano wa kupata Original Academic Certificates za form four na six kama zimepotea...... Coz nme-meet na hili tatizo,
Msaada plz...
Msaada plz...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una bei gani. Unataka feki au origino
Habarinii ndugu, Kuna uwezekano wa kupata Original Academic Certificates za form four na six kama zimepotea...... Coz nme-meet na hili tatizo,
Msaada plz...
mmh mkuu uwa havichapishwi tena...nenda necta watakwambia toa tangazo kwny gazet la serikali zen watakupata STATEMENT OF RESULTS na sio cheti tena (barua ya kukuthibitisha umemaliza 4rm4 ama 4rm6 mkuu)
pole sana kaka..

Hii ni long avenue. Ukitaka shot kat sema upate cheti halisi. unataka nikupe divishen gani ? naona wewe unataka wani ya point kumi. wani ina bei yake na tuu ina bei yake.
njoo nilipe vyeti vyangu maana mpaka leo havijanisaidia lolote,,cha form four kina div 3 form six 1,,bureeeeee hata ukitaka na vya vyuo ntakupa,,mm nimeamua kuwa mkabaji tu
vya vyuo??kwani we umesomea vyuo vingapi?