Kuhusu Academic Certificates - Msaada tafadhali!

kidE Meshack

Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
92
Reaction score
7
Habarinii ndugu, Kuna uwezekano wa kupata Original Academic Certificates za form four na six kama zimepotea...... Coz nme-meet na hili tatizo,

Msaada plz...
 
Nenda pale NECTA watakupa jibu sahihi Mkuu..
 
NECTA watakupa barua tu hawatoi cheti mara mbili mkuu, pole sana
 
Habarinii ndugu, Kuna uwezekano wa kupata Original Academic Certificates za form four na six kama zimepotea...... Coz nme-meet na hili tatizo,

Msaada plz...

mmh mkuu uwa havichapishwi tena...nenda necta watakwambia toa tangazo kwny gazet la serikali zen watakupata STATEMENT OF RESULTS na sio cheti tena (barua ya kukuthibitisha umemaliza 4rm4 ama 4rm6 mkuu)
pole sana kaka..
 
Hii ni long avenue. Ukitaka shot kat sema upate cheti halisi. unataka nikupe divishen gani ? naona wewe unataka wani ya point kumi. wani ina bei yake na tuu ina bei yake.
 
njoo nilipe vyeti vyangu maana mpaka leo havijanisaidia lolote,,cha form four kina div 3 form six 1,,bureeeeee hata ukitaka na vya vyuo ntakupa,,mm nimeamua kuwa mkabaji tu
 
Thanks all, but kuna sehemu barua wanazingua wanasema ni GAKA ilo...bt haina noma... Ngoja ntawacheki then wanpe iyo barua...

pamoja saana wadau...
 
mmh mkuu uwa havichapishwi tena...nenda necta watakwambia toa tangazo kwny gazet la serikali zen watakupata STATEMENT OF RESULTS na sio cheti tena (barua ya kukuthibitisha umemaliza 4rm4 ama 4rm6 mkuu)
pole sana kaka..

Poa, lakin sehem zngne hawatak izo barua...wanasema umefoji, bt nashukuru kwa ushaur mzt angu, pa1
 
Hii ni long avenue. Ukitaka shot kat sema upate cheti halisi. unataka nikupe divishen gani ? naona wewe unataka wani ya point kumi. wani ina bei yake na tuu ina bei yake.

Shortcut iNa Great Impacts...., its better nkacheki tu izo BARUA
 
njoo nilipe vyeti vyangu maana mpaka leo havijanisaidia lolote,,cha form four kina div 3 form six 1,,bureeeeee hata ukitaka na vya vyuo ntakupa,,mm nimeamua kuwa mkabaji tu

vya vyuo??kwani we umesomea vyuo vingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…