Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,520
- 1,504
Utachanganyikiwa zaidi wakikwambiaJamani kuna jambo kidogo huwa linasumbua sana kichwa changu! Na sijapata majibu.Hivyo nimeona bora nililete humu labda nitapata msaada.
Jambo lenyewe ni hili; ikiwa Adam na Hawa(Eva) ndo chanzo cha binadamu wote sisi ulimwenguni.sasa inakuwaje kuna waafrika wenye ngozi nyeusi na wazungu? Lakini pia kuna waarabu,wachina,wajapan,wakorea,wahindi.kama sisi sote tulitokea kwa Adam na Eva,sasa kwa nini tunatofautiana?
AhsanteMi nahis baada ya Adam na Hawa kujua aibu zao na Mungu kuwapeleka maeneo tofaut hapa dunian na baada ya miaka kazaa ndo wakakutana na kuanzisha vizazi,baada ya hapa kunakitu kinaitwa geographical areas kutokana na separation ya vizaz na dunia kujigawa basi mazingira yaliwafanya watu watoautiane as a result huyu mweusi yule mweupe yule ana nywele ndefu huyu vipilipili na maumbile mengine,,nahis itakua geographical areas mkuu,,,ngoja tusubir wajuz wengine
Hatari tupu mkuu! Ngoja wenye ujuzi zaidi waje kutupa darasa.Utachanganyikiwa zaidi wakikwambia
1.watoto wake walilalana wakazaa na haikuwa dhambi
2 .but now ukilalana na dada yako ni dhambi
3.yet hao ndio wazazi wetu it means bado tunalalana dada na kaka.
NB:mimi siamini kama wao ndio walikuwa wawili tu duniani bali kuna watu wengine kibaooo walikuwepo.
Ungetusaidia kutuwekea hapa,maana Mimi nimezitafuta lakini nimechemsha.Kuna nyuzi nyingi zimefafanua hayo JF Intelligence. Jishughulishe kutafuta...