Kuhusu Adobe flash player

GAMBLER

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2009
Posts
303
Reaction score
11
Wandugu naomba msaada wenu, natumia simu ya blackberry, nilikuwa nikifungua baadhi ya website zinataka niwe na adobe flash player, nimetafuta katika getjar sikupata,sasa wandugu nifanyeje ili niweze kufanikiwa?
 
Mkuu, inaonekana bado unatumia OS ya 4.2. Jaribu ku-update OS 4.5 itakuwezesha kuona video kwenye web.. Ukweli ni kwamba hakuna adobe flash player maalum kwa blackberry.
 
yap m mbona natumia n70 tena in build ya 2007 na inasapoti flash player and pdf reader ..................so wat is the truth:blah:
 
Wewe acha kukurupuka... Unajua tofauti ya nokia na Blackberry?
 
Wandugu naomba msaada wenu, natumia simu ya blackberry, nilikuwa nikifungua baadhi ya website zinataka niwe na adobe flash player, nimetafuta katika getjar sikupata,sasa wandugu nifanyeje ili niweze kufanikiwa?

Mkuu usikute unatumia Blackberry 8700c, kama ni hii sidhani kama inasupport!
 
Wandugu naomba msaada wenu, natumia simu ya blackberry, nilikuwa nikifungua baadhi ya website zinataka niwe na adobe flash player, nimetafuta katika getjar sikupata,sasa wandugu nifanyeje ili niweze kufanikiwa?

Hapa kila kitu kinawezekana ndugu. Cha ufanya ni wewe kuweka hapa aina ya B`berry unatumia; Model na ni messeg gani unapata wakati unaopen hzo page? fanya hvyo na kila kitu kitafanyika ndugu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…