Kuhusu ajira mpya za walimu mwaka huu

Kuhusu ajira mpya za walimu mwaka huu

Joined
Aug 1, 2013
Posts
89
Reaction score
11
HABARI ZENU WANA JF,
Tumesikia sana kuhusu suala la ajira mpya za walimu,labda niseme tu kuwa ajira zetu zipo cha msingi tuwe wavumilivu,
na inawezekana hata JK akalizungumzia suala hili hata katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi, sasa nachoomba tuwe wavumilivu, tupunguze maneno ya mzaha na uzushi ambayo kimsingi hayana tija,nilivyosikia kutoka kwa viongozi ajira zitatangazwa mwezi huu,(january) sasa mi nadhani tuwaachie wahusika wafanye yao ili tujue je ni wakweli au la?/ YANGU NI HAYO TU ASANTENI SANA
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
''THE HIGHEST RESULTS OF EDUCATION IS TOLERANCE'' by helen keller
 
Hawa jamaa ............... Naona wanamalizia kuingiza majina,accident ilitokea yalikuwa yamefutika, virus.
 
Kukaa kimya/ kuchelewesha kutoa ajira kumefanya wengi wetu kusaini mikataba shule za private, walimu wenzangu wengi tu wa masomo ya sayansi (nilio hitim nao) kila siku wanaaza mikataba shule za private, kwa mtindo huu unadhani matatizo ya waalim yataisha?

Kwa nini serikali inasubiri waalim wengi waajiriwe private wakati wenyewe (serikali) ndio imewasomesha? Mfano mimi na wenzangu tuliosoma chuo kimoja wote tulipata mkopo wa 100%, fedha hizo ni za watu wa tabaka la chini kabisa, lakini kwa uzembe/ kutokuwa makini kwa serikali kunasababisha fedha hizi za watu wa chini zinaenda kufaidisha matajiri (shule za private)
Iangaliwe njia nzuri na bora ya kutoa ajira kwa waalimu kama imedhamiria kufanya hivyo, la sivyo BRN tutaisikia tu MALASIA
 
Walimu hao walio ingia mikataba na shule binafsi, watabata tabu sana ajira za serikali zikitangazwa coz hawata kuwa na uwezo wa kuvunja mikataba hiyo,, nafaham kuwa wengi wao watakua wameingia mikataba ya kuanzia muda wa mwaka mmoja na kuendelea
 
Yote maisha na maisha ni safari yenye vituo vingi.iko siku watasema wenyewe cha muhimu ni kuwa hao watarajiwa wamo kwenye hiyo list iliyo pangiwa vituo vya kazi na kama hutakuta jina lako utachukua hatua gani?akili ku mkichwa.
 
Mh! binafsi kama nimekata tamaa vile, by the way nimeamua kufanya mambo yangu yakimaendeleo ikiwemo kulima ili nijipatie kipato nakama watatoa hata kesho haitakuwa vibaya kwani ntakuwa nimepiga ndege 2 kwa wakati 1
nawaomba nawenzangu mnaosubiri tafute chakufanya as you know time ndo kila kitu
 
HABARI ZENU WANA JF,
Tumesikia sana kuhusu suala la ajira mpya za walimu,labda niseme tu kuwa ajira zetu zipo cha msingi tuwe wavumilivu,
na inawezekana hata JK akalizungumzia suala hili hata katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi, sasa nachoomba tuwe wavumilivu, tupunguze maneno ya mzaha na uzushi ambayo kimsingi hayana tija,nilivyosikia kutoka kwa viongozi ajira zitatangazwa mwezi huu,(january) sasa mi nadhani tuwaachie wahusika wafanye yao ili tujue je ni wakweli au la?/


wewe ndo uwe wa kwanza kuacha uzushi, subiri wausika watangaze wenyewe unaweza ukasikia uzushi
 
Walimu hao walio ingia mikataba na shule binafsi, watabata tabu sana ajira za serikali zikitangazwa coz hawata kuwa na uwezo wa kuvunja mikataba hiyo,, nafaham kuwa wengi wao watakua wameingia mikataba ya kuanzia muda wa mwaka mmoja na kuendelea

nani kakwmbia mkataba hauvunjwi? kwanza private mishahara haina tofauti kabisa na government,then private employer wako ni wanafunzi,wakiona hauhivi nao huna kazi,mtu akijisikia any time ana terminate contract yako.
 
Nani kakwambia mkataba hauvunjwi? ...

Ni kweli mkataba huvunjwa, mathalan ukiacha kazi ghafla bila taarifa kabla ya muda wa mkataba kuisha umevunja mkataba.
Ukitoa taarifa ya kuacha kabla muda haujakwisha mara nyingi kuna masharti, mfano unaweza kuambiwa uache mshahara wako wa mwezi unaoondokea.
Ukikiuka masharti si rahisi kuachwa hivi hivi bila kuchukuliwa hatua za kisheria.
 
Walimu hao walio ingia mikataba na shule binafsi, watab?ata tabu sana ajira za serikali zikitangazwa coz hawatakuwa na uwezo wa kuvunja mikataba hiyo, sababu bila shaka wengi wao watakua wameingia mikataba ya kuanzia muda wa mwaka mmoja na kuendelea
Uniwie radhi nime'edit baadhi ya sehemu.
Kukosa uwezo labda iwe kushindwa kutimiza masharti ya kuvunja mkataba.
 
Back
Top Bottom