ABDUL JIRANI Senior Member Joined Jul 20, 2013 Posts 176 Reaction score 52 Apr 25, 2015 #1 Wahanga wa ajira naomba mjipe moyo kuwa ajira watatangaza juma3 Kwa sababu leo sio siku ya kazi japokuwa walisema kuwa watazitangaza hii leo 25/4/2015
Wahanga wa ajira naomba mjipe moyo kuwa ajira watatangaza juma3 Kwa sababu leo sio siku ya kazi japokuwa walisema kuwa watazitangaza hii leo 25/4/2015
MKANKULE JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 418 Reaction score 94 Apr 25, 2015 #2 Habari umeiandika kama unakimbizwa vile.ajira gani ? Chanzo cha habari yako kikowapi?