Tetesi: Kuhusu alama za ufaulu kidato cha sita

iyo yote hawataki kuwapa wanafunzi wengi mikopo
 
Zangu, hazitakusaidia kufaulu. Jambo la msingi sana achana na mbunye /papunchi soma hizo alama ni za kawaida sana kwa mtu aliyemakini na mambo ya shule.

Ila ukiwa kiguu na papunchi /mkunyange hizo alama utazisikilizia kwa wenzio.
Agreed hazitanisaidia, lakini weka au weka namba yako ya mtihani tuangalie bila jina???????
 
Hazina shida mbona nilichojifunza vijana wa siku hizi wanataka mteremko waambie wasome waache kucheza.
Perfect, wasome wasicheze, LAKINI, weka zako tuone kama ulifika huko na hivyo ulikuwa huchezi
 
Jambo la msingi sana utaona Wenzako wana 1: 3 ndiyo utaelewa kuwa hizo alama ni za kawaida sana.

Sasa wewe endelea kupiga domo kwenye mitandao matokeo yatakuonesha walioweza kupata 1:3-9 kali ndiyo utakumbuka kwa machozi huu muda
 
we ulipata ngapi kwanini hamsemagi ukwel mnakera sana
 
kuanzia mwaka jana ilikua hivyo hivyo
 
Jambo la msingi sana utaona Wenzako wana 1: 3 ndiyo utaelewa kuwa hizo alama ni za kawaida sana.

Sasa wewe endelea kupiga domo kwenye mitandao matokeo yatakuonesha walioweza kupata 1:3-9 kali ndiyo utakumbuka kwa machozi huu muda
stupid people ka ww they exists only in TZ kwahyo unahisi sababu ya kufeli ni mapenzi kuna watu wanasoma ktk facilities mbovu I repeat STUPID
 
Ha Ha Ha! Mkuu Nimecheka Mpaka
Nimekatika Maini.
Grade za kawaida sana hizo.

Tatizo wanafunzi hapo Tanzania, kutwa nzima wanashinda kwenye; mkunyange na papunchi kisha wanategemea wafaulu.
 
Ha Ha Ha! Mkuu Nimecheka Mpaka
Nimekatika Maini.

Pole Sana mkuu kwa kukatika maini .

Ila hizo grade ni za kawaida sana, nimesoma nje hizo ndiyo grade.

Hata hapo Africa, misri wanatumia hicho kipimo na bado watoto wanafaulu.

Sasa hapo Tanzania, kwa nini washindwe wakati masomo ni yaleyele, level ni iyo hiyo!!

Tusiendekeze watoto kuwa vilaza huku tukishangilia. Ngoja hiyo ndiyo itawakomesha kabisa kurukaruka mitaani itapungua .

Na hiyo, itasaidia kupunguza vilaza kwenye elimu ya juu.
 
Mkuu nitakuuliza source ya hii taarifa. Sijaioa NECTA na pia kutakuwa na kitu cha ajabu kama mwaka wa jana 2016 walibadilisha na mwaka huu wafanye hivyo tena. Halafu baada ya kupandisha viwango vya kuingia chuo kikuu last year hii itakuwa disaster (hata kama kuna wanao fikiria kuwa ni kitu cha kawaida). Pia tutakuwa watu wa ajabu kubadilisha sheria wakati mchezo una endelea hata kama walifanya hivyo last year.
 
Wao wabadilishe madaraja ya ufaulu yawe ambayo wanafunzi wengii wameyapata ili watanzania wapate elimu ya chuo vikuu tuwe Na wasomi wengi nchi yetu iendelee.Vyuo vikuu ni Ving sana kwa madaraja hayo vitakosa wanafunzi.Hata hivyo kuwa Na Elimu siyo kwamba ndio kigezo cha kufanikia kimaisha, mbona kuna watu wengi hawana elimu ya madarasa ya juu sana km high schools au vyuo vikuu lkn wana mafanikio makubwa kimaisha ? Na kwa miundombinu ya shule zetu za kiserikali, hayo madaraja ya ufaulu ni magumu wanafunzi kuyapata kwa hiyo ni vizuri warekebishe hili suala ili vijana wakapate Elimu ya chuo kikuu kwa manufaa ya taifa letu.Nchi hii ni tajiri sana, serikali ifanye kweli ktk hzo alama za ufaulu, ma x-form 6 wafaulu wawape mikopo wakapate Elimu ya chuo kikuu.
 
Grade za kawaida sana hizo.

Tatizo wanafunzi hapo Tanzania, kutwa nzima wanashinda kwenye; mkunyange na papunchi kisha wanategemea wafaulu.
Weka namba ya mthihan WA kidacho cha 6 nitizame matokeo yako cos ninawasiwasi na ufaulu wako
 
Weka namba ya mthihan WA kidacho cha 6 nitizame matokeo yako cos ninawasiwasi na ufaulu wako
Kama aliishia form 4 tena kwa alama ya bashite je[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…