EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,086
Hiyo ina determine umbali wa usafirishaji nauli hazilinganiNi ufafanuzi mzuri, ila tunataka kujua kwa uhakika 60 v/s 40% ni kwanini iwe hivyo, haya maelezo yako ni mazuri ila ni hisia zako zaidi.
Siyo anaweza, ni amefaidika maana hatatumia gharama kubwa za maintenance umeme na ulinzi. Sisi tumekurupuka ili tupate kitu kidogo!Kwahiyo basi sio faida bali ni mgawanyo wa nauli kulingana na umbali huku risk nyingi zikibaki Tanzania...in fact kwenye hili mganda anaweza kufaidika zaidi
Jr[emoji769]
Hivi ninyi wafuasi wa Chadema huwa mnatumia akili kupambanua mambo? Uganda lazima wapate faida zaidi sababu wao ndio wanauza hayo mafuta ghafi,sisi tumechangamkia dili bomba lipite ili tupate mapato kwa bomba kupita nchini kwetu tu,bado mnaona kama tunanyonywa na sio mradi mzuri. Mnakera sana.Ni ufafanuzi mzuri, ila tunataka kujua kwa uhakika 60 v/s 40% ni kwanini iwe hivyo, haya maelezo yako ni mazuri ila ni hisia zako zaidi.
Wewe unafikiri kwa kutumia makamasi na kinyesi kwani gharama za maintainance na ulinzi ni za nchi moja? Huu mradi unagharamiwa na Uganda na Total,sisi hapa tunapata pesa kwa bomba kupita nchini tu.Siyo anaweza, ni amefaidika maana hatatumia gharama kubwa za maintenance umeme na ulinzi. Sisi tumekurupuka ili tupate kitu kidogo!
Hahahaaaa....... Wanakera kwa kweli!Hivi ninyi wafuasi wa Chadema huwa mnatumia akili kupambanua mambo? Uganda lazima wapate faida zaidi sababu wao ndio wanauza hayo mafuta ghafi,sisi tumechangamkia dili bomba lipite ili tupate mapato kwa bomba kupita nchini kwetu tu,bado mnaona kama tunanyonywa na sio mradi mzuri. Mnakera sana.
Kwanini tudijenge o
Kwanini tusijenge oil refinery yetu mji wa kahama bomba linakopita Ili uganda watuuzie mafuta Ili yatumike Mara, mwanza, shinyanga,geita,katavi,simiyu ,tabora na singida Ili tupate upungufu wa Bei badala ya kuchukua mafuta dar na kuyarudisha tena kwenye hiyo mikoa?
Hiyo ni faida kubwa sana. Kumbuka kuwa mafuta wala bomba sio mali yetu, sisi tunanufaika kwa sababu linapita kwetu ; ni kama vile ndege inapotumia anga ya Tanzania wakati inaenda nchi nyingine au magari ya transit yanayobeba mizigo au mafuta kwenda nchi jirani.Kwahiyo basi sio faida bali ni mgawanyo wa nauli kulingana na umbali huku risk nyingi zikibaki Tanzania...in fact kwenye hili mganda anaweza kufaidika zaidi
Jr[emoji769]
Hivi ninyi wafuasi wa Chadema huwa mnatumia akili kupambanua mambo? Uganda lazima wapate faida zaidi sababu wao ndio wanauza hayo mafuta ghafi,sisi tumechangamkia dili bomba lipite ili tupate mapato kwa bomba kupita nchini kwetu tu,bado mnaona kama tunanyonywa na sio mradi mzuri. Mnakera sana.
Mafuta bado ni ya Uganda na Kampuni la Total la Ufaransa hayatuhusu kabisa wao wamefanya kuyapitishia TanzaniaKwanini tudijenge o
Kwanini tusijenge oil refinery yetu mji wa kahama bomba linakopita Ili uganda watuuzie mafuta Ili yatumike Mara, mwanza, shinyanga,geita,katavi,simiyu ,tabora na singida Ili tupate upungufu wa Bei badala ya kuchukua mafuta dar na kuyarudisha tena kwenye hiyo mikoa?
Mkataba wa nini? Kama sio kupitisha mafuta ghafi mpaka Chongoleani.Mkuu umepamia maelezo, mimi nimetaka kujua hiyo 60% ya kwetu ni kutokana na maelezo ya mleta mada, au ndio haswa kilicho ndani ya huo mkataba. Rejea kichwa cha habari cha mleta mada.
Kwa mantiki hiyo cruide oil inapita na mabomba zaidi ya kms 1100 kwani Nadi tusiyanunue then tufanye refinery Ili mafutayashuke Bei ? Kwa usemi wako tutaendelea kuagiza mafuta nje ya nchi kwa muda mrefu na gharama kubwa wakati chini ya ardhi ya tanzania mafuta yanapita kwenye mabomba kuelekea tanga tukisubiri kulipwa 60%? Kitakuwa kituko Cha mwaka. Ushauri wangu tupokee chetu 60% then tununue cruise oil yao tuifainye refinery Ili kupata faida Mara mbili . Tanzania tuamkeMafuta bado ni ya Uganda na Kampuni la Total la Ufaransa hayatuhusu kabisa wao wamefanya kuyapitishia Tanzania
mfano Basi la abiria likitokea Uganda na kwenda Tanga Tanzania kuwapitisha abiria au watalii katika nauli wamekupa 60% huwezi kudai Basi ni lako, sisi Tanzani tukubali hiyo % inatosha