Ni hivyo lakini sheria imeenda mbele zaidi kwa kuangalia mazingira,na sababu za msingi...soka la Dunia ya sasa imekuwa biashara...utawaambia nini mashabiki waliokata tiketi zao?waliocheza kamari?hizi mechi zinafilisi watu na zinatajirisha watu kila siku hasa kwa nchi za wenzetu.kwa kifupi itakuwa kashifa na kwa dunia ya leo walipofikia wenzetu ni bora washindwe lkn waingie uwanjani wacheze kwa maslahi ya Ya makampuni wadhamini kwanza ikiwemo kampuni za wacheza kamari(bet),pili Heshima ya timu,tatu Mashabiki na wao wenyewe wachezaji...