Kuhusu bei za vitu

Kuhusu bei za vitu

wisewords

Member
Joined
Jul 4, 2015
Posts
23
Reaction score
11
Naomba kupata uelewa. Ni kwa nn bei za vitu Zanzibar ni cheap kuliko huku kwenu bara nyie watanganyika
 
Kwa sababu Zambia ni kituo kikuu cha uzalishaji wa kakao nchini Ghana. Sijui unanielewa kweli?
 
Naomba kupata uelewa. Ni kwa nn bei za vitu Zanzibar ni cheap kuliko huku kwenu bara nyie watanganyika

Kwa sababu ni nchi inayojitegemea kwenye masuala ya forodha na kodi zake...

Ushuru wa forodha na kodi kadiri zinavyokuwa kubwa na nyingi, bei ya imports huwa kubwa pia...
 
Back
Top Bottom