W wisewords Member Joined Jul 4, 2015 Posts 23 Reaction score 11 Nov 11, 2024 #1 Naomba kupata uelewa. Ni kwa nn bei za vitu Zanzibar ni cheap kuliko huku kwenu bara nyie watanganyika
Naomba kupata uelewa. Ni kwa nn bei za vitu Zanzibar ni cheap kuliko huku kwenu bara nyie watanganyika
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Nov 11, 2024 #2 Kwa sababu Zambia ni kituo kikuu cha uzalishaji wa kakao nchini Ghana. Sijui unanielewa kweli?
Fundi mahiri wa ujenzi JF-Expert Member Joined Dec 10, 2012 Posts 4,159 Reaction score 2,844 Nov 11, 2024 #3 wisewords said: Naomba kupata uelewa. Ni kwa nn bei za vitu Zanzibar ni cheap kuliko huku kwenu bara nyie watanganyika Click to expand... Kwasababu watanganyika wamewalipia sehemu ya pesa kwenye hivyo viatu. Kuwa nashukran mkuu
wisewords said: Naomba kupata uelewa. Ni kwa nn bei za vitu Zanzibar ni cheap kuliko huku kwenu bara nyie watanganyika Click to expand... Kwasababu watanganyika wamewalipia sehemu ya pesa kwenye hivyo viatu. Kuwa nashukran mkuu
W wisewords Member Joined Jul 4, 2015 Posts 23 Reaction score 11 Nov 12, 2024 Thread starter #4 Sijaelewa
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 4,099 Reaction score 7,466 Nov 12, 2024 #5 Pikipiki ya 750,000 Zanzibar inauzwa 4 500 000 Tanganyika.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Nov 12, 2024 #6 wisewords said: Naomba kupata uelewa. Ni kwa nn bei za vitu Zanzibar ni cheap kuliko huku kwenu bara nyie watanganyika Click to expand... Kwa sababu ni nchi inayojitegemea kwenye masuala ya forodha na kodi zake... Ushuru wa forodha na kodi kadiri zinavyokuwa kubwa na nyingi, bei ya imports huwa kubwa pia...
wisewords said: Naomba kupata uelewa. Ni kwa nn bei za vitu Zanzibar ni cheap kuliko huku kwenu bara nyie watanganyika Click to expand... Kwa sababu ni nchi inayojitegemea kwenye masuala ya forodha na kodi zake... Ushuru wa forodha na kodi kadiri zinavyokuwa kubwa na nyingi, bei ya imports huwa kubwa pia...
Mstoiki JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 4,365 Reaction score 8,384 Nov 12, 2024 #7 MWANDENDEULE said: Pikipiki ya 750,000 Zanzibar inauzwa 4 500 000 Tanganyika. Click to expand... Usafiri vipi mkuu?
MWANDENDEULE said: Pikipiki ya 750,000 Zanzibar inauzwa 4 500 000 Tanganyika. Click to expand... Usafiri vipi mkuu?