Mie cijaelewa hapo unachouliza , je unataka kujua kuhusu mtaji unaohitajika au Faida ya hiyo biashara? Kiukweli kama eneo ulilopo linauhiyaji wa hiyo k2 inalipa.

Hiyo biashara inalipa, changamoto yake kubwa ni ni kuwa majambazi wa silaha za moto wanakuja kuvuna hapo kila wakitaka, maana ina mzunguko mkubwa wa cash!