Kuhusu Bidhaa za Kilimo Mashambani.(karibu na eneo la uzalishaji)

Kuhusu Bidhaa za Kilimo Mashambani.(karibu na eneo la uzalishaji)

Azizi Mussa

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2012
Posts
9,186
Reaction score
7,492
Wakuu naomba mwenye taarifa sahihi juu ya mambo kadha tusaidiane hapa.Naomba anaejua yafuatayo atusaidie.

1.Wilaya inayoongoza kwa kulima Nyanya na bei ya nyanya kwa tenga kwenye eneo la uzalishaji.

2.Wilaya inayoongoza kwa uzalishaji wa zao la Vitunguu na bei ya vitunguu kwa gunia kwenye eneo la uzalishaji.

3.Wilaya inayoongoza kwa uzalishaji wa karoti na bei ya karoti kwa gunia kwenye eneo la uzalishaji.

4.Wilaya inayoongoza kwa uzalishaji wa viazi mviringo na bei yake katika eneo la uzalishaji.

5. wilaya inayoongoza kwa uzalishaji wa tangawizi na bei yake kwa gunia kwenye eneo la uzalishaji.

Nitashukuru sana kama mdau yeyote mwenye taarifa sahihi atatupia humu.
 
hii ilijadiliwa kuna uzi wa Malila " kwenu kinamea nini' utafute hapa jukwaani
 
hii ilijadiliwa kuna uzi wa Malila " kwenu kinamea nini' utafute hapa jukwaani
kwetu hakuna zao linalostawi vizuri.Tunategemea sana sana uvuvi.any way ngoja ntafute huo uzi.
 
Back
Top Bottom