Balungi
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 234
- 162
Nilipata ajali na gari ikakaguliwa na vehicle inspector na akaandika report baada ya kuipeleka gereji, malipo yameandaliwa na mwenye gereji akakubali kutengeneza kutokana na malipo yaliyokubaliwa lkn wakati kazi inaendelea ikagundulika kuwa kuna tatizo "engine mounting" nayo imekatika na gari inatakiwa kupakwa rangi upya, nafanyaje?
i. Ninaweza kuwaandikia ili niongezewe kiasi kinachoongezeka?
i. Inatakiwa nitengeneze kwa gharama zangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
i. Ninaweza kuwaandikia ili niongezewe kiasi kinachoongezeka?
i. Inatakiwa nitengeneze kwa gharama zangu?
Sent using Jamii Forums mobile app