Ndiyo ila angalizo:
Hiyo blood group kama ni whole blood iwe imepimwa high titre antibodies (anti A & anti B) vinginevyo inaweza kusababisha serious transfusion reactions ikiwa itakuwa na high titre anti A katika plasma.
Kama ni packed red cells bas si lazima ziwe zimepimwa high titre antibodies kwa kuwa kias kikubwa cha plasma kimetolewa. Hii blood group O packed red cells ndio twaweza kuita 'universal donor'