hopaje JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 1,726 Reaction score 1,218 Jul 23, 2014 #1 Nimepitia website ya tcu nimeona kwa art kupata mkopo lazima awe na point 4 ila kwa upande wa sayansi sijajua napitia website ya bodi sioni wadau ka kuna mtu anajua naomba atujuze!!! Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
Nimepitia website ya tcu nimeona kwa art kupata mkopo lazima awe na point 4 ila kwa upande wa sayansi sijajua napitia website ya bodi sioni wadau ka kuna mtu anajua naomba atujuze!!! Sent from my iPhone 5 using JamiiForums