Tetesi: KUHUSU BOKSA

Tetesi: KUHUSU BOKSA

Status
Not open for further replies.

kamdudu

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2015
Posts
2,007
Reaction score
1,931
Habari zenu humu ndani .

Mimi kuna maneno nimeyasikia sana mitaani kuhusu hizi boksa tunazovaa wanaume watu wakidai eti ukizivaa kwa muda mrefu zinapunguza nguvu za kiume !

Mwenye ukweli kuhusu hilo tafadhali !
 
Ulikuwa hulijui hilo? Huo mshedede yafaa uwe huru sio kuubanabana ndugu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom